Jamaa wa Afrika Kusini akionesha 'feature' ya E63 AMG ya gari kujiegesha lenyewe

Jamaa wa Afrika Kusini akionesha 'feature' ya E63 AMG ya gari kujiegesha lenyewe

Sema iyo ni simple IPA ata Toyota wanayo since 2010, Auto Pilot ya Tesla shikamoo. Umasikini tu. Ila mzee, wangenikoma.
Siyo Toyota peke yao, manufactures karibu wote wanaweka hiyo feature ila kwa extra money - kama unaagiza toka kiwandani. Na hawa Daimler kiboko iko kwenye S class hii cha mtoto maana S class na tairi za nyuma zinakata kona.
 
Tesla zinalalamikiwa kwa kuwa na finishing quality mbovu sana.
Naona hii feature ya gari kujipaki iko kwenye gari nyingi latest kabisa.
Ningekuwa na uwezo wa kununua EV ningenunua ford pickup truck au EV ya Lucid air sio Tesla
Tatizo la walalamishi wa Tesla wengi ni kama walalamishi wa IPhone, wanalalamika kitu ambacho hawajawahi kukitumia. Tesla zingekuwa mbovu zisingeuzwa kama njugu.
 
Tatizo la walalamishi wa Tesla wengi ni kama walalamishi wa IPhone, wanalalamika kitu ambacho hawajawahi kukitumia. Tesla zingekuwa mbovu zisingeuzwa kama njugu.
Hapana sio mm, mimi nasomaga habari za tesla na post watumiaji wanazopost twitter na kumtag elon na mitandao ya kureview magari, wanasema finishing ya tesla sio poa yan unaweza eti kuta gaps kwenye labda angle dashboard inapokutana na body ya gari yani hizo quality issues
 
Hapana sio mm, mimi nasomaga jabari za tesla.na post watumiaji wanazopost twitter na kumtag elon na mitandao ya kureview magari, wanasema finishing ya tesla sio poa yan unaweza eti kuta gaps kwenye labda engle dashboard inapokutana na body ya gari yani hizo quality issues
Ni kweli.

Tena Tesla zinanunuliwa sana kwasababu ni EV company iliyo mass produce their vehicles na kuwa na a wider network of charging stations. Ila finishing ya teslas ni questionnable.

Hizi kampuni zingine tayari zina models nzuri tu za EVs. BMW, Audi, Daimler n.k
 
Tesla zinalalamikiwa kwa kuwa na finishing quality mbovu sana.
Naona hii feature ya gari kujipaki iko kwenye gari nyingi latest kabisa.
Ningekuwa na uwezo wa kununua EV ningenunua ford pickup truck au EV ya Lucid air sio Tesla
Gari inayouza kwa kasi zaidi duniani inalalamikiwa kuwa na build quality poor? Issues zilikuwepo ila zinakuwa fixed as fast as they come.
 
Gari inayouza kwa kasi zaidi duniani inalalamikiwa kuwa na build quality poor? Issues zilikuwepo ila zinakuwa fixed as fast as they come.
Sio kweli, fuatilia ni suala linalolalamikiwa sana. Yani wakitaja magari yenye finishing quality mbovu, Tesla hakosi. Na hizo ni small details kama kuacha gapes sehemu vitu vinapoungana, mara sijui seat cover sometimes kuacha baadhi ya sehemu wazi yani vitu kama hivyo.
 
Back
Top Bottom