Jamaa wa Kenya imembidi awaoe mapacha maana hawataki kutenganishwa

Jamaa wa Kenya imembidi awaoe mapacha maana hawataki kutenganishwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ni mtangazaji wa Redio huko Kesho na umri wa miaka 26 na madenti wenyewe wana 20.

Madenti wanasema hawajawi kutenganishwa tangu utoto, shuleni hadi ukubwani.

Mabaharia wa JF naona tayari mmeshaanza fantasies zenu za threesome hahahah.

Jamaa anasema:

“Niliona wanafanana kwa kila kitu. Ukiuliza swali, wanajibu pamoja. Nikaanza kuwachumbia na wakanipenda. Kimsingi huwezi kuongea na mmoja akamtenga mwenzake. Kwa hiyo hata nikipiga simu, lazima niwajumuishe wote wawili,” amesema.


Anyway, Maisha yaendelee.


Screenshot_20240907-074445.png
 
Back
Top Bottom