Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Naskia jamaa wa nyuma mwiko wanahamisha makao , haya ndo madhara ya kuwa na fikra za kishirikina , Kila muda unahisi unarogwa tu na kufitiniwa.
Tabia za nyuma mwiko ni kama nyuki, Kila siku wanahama tu.
Viwanja vyote vilivyopo Tanzania hii mpaka muhamie KMC!?. Kama sio choko choko ni nini!?
Yaani kwakua Simba anafanya vizuri akiwa KMC basi na nyie mnataka kwenda na beat.
Mkifungwa na huko sijui mtaweka wapi sura zenu, naona mtahama na Dunia Kabsaa, mkacheze soka sayari zingine😅😅😅
Njoeni tuwakaange.