Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale jamaa walikuwa wazuri sana, walifukuzwa pale star tv kwa makosa ya kinidhamu ikiwemo kutoroka siku za weekend na kwenda kufanya show mikoani bila kibali cha mwajiri. Binafsi I miss themInawezekana walikosa wafadhili ndo maana wameamua kwenda kwenye kazi yao ya uvuvi.