Wakuu,Wenye taarifa watujuze hapa hivi wale waigizaji maarufu tuliowazoea wa FUTUHI akina Babu Kulikombe wapo wapi? Wengi wao siwaoni. Kuondoka kwa hao jamaa kumepunguza kwa sana mvuto wa FUTUHI.
wale jamaa walikuwa wazuri sana, walifukuzwa pale star tv kwa makosa ya kinidhamu ikiwemo kutoroka siku za weekend na kwenda kufanya show mikoani bila kibali cha mwajiri. Binafsi I miss them