Jamaa wameokota yai kwenye banda la ng'ombe

Jamaa wameokota yai kwenye banda la ng'ombe

Mazoko

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2009
Posts
674
Reaction score
184
Leo chura wa jangwani wameokota yai kwenye banda la ng'ombe mji mzima wanapiga kelele
Hii nitabu
 
Lile jina lao Mo Bejaia ile "Mo" ndo imewaponza Yanga wakajua ndo ile team iliyouzwa imebadilishwa jina na kuitwa Mo fc

YANGA WA KIMATAIFAA
 
Kupata bikira kwenye wodi ya wazazi inawezekana maana watoto wakike wanaozaliwa wanazo.

Semi nyingine tuzitafakari kabla ya kutumia
 
wa mchangani mshaanza.. bado ndugu yenu azam tunampiga keshokutwa
 
Ukiona mtu aliyekuwa ametulia ghafla anarusharusha miguu ujue ncha kali imemgusa mwilini.Tulieni hivyohivyo wawakilishi wenu tunaendelea kuipeperusha bendera.Tusubirini kwenye ligi mtupe point zetu sita.
 
ndo maana hata kitaifa kimichezo hatufanikiwi kwa ajili ya akili zetu zilipo fika
 
Back
Top Bottom