Imekuuuuma enheee?
Teh Teh Ngoja manji awashugulikieeee ....Leo chura wa jangwani wameokota yai kwenye banda la ng'ombe mji mzima wanapiga kelele
Hii nitabu
Hivi chura si ni wamatopeni wewe? Kwan leo mmecheza ndondo wapi?Leo chura wa jangwani wameokota yai kwenye banda la ng'ombe mji mzima wanapiga kelele
Hii nitabu
Chura gani anaishi kwenye tope, pita jangwani usikie zile kelele zenu vyuraHivi chura si ni wamatopeni wewe? Kwan leo mmecheza ndondo wapi?