Dah mkuu hapo kazi kelikweli!!Nimesikiliza leo katika kipindi cha pata pata Wapo radio kuna jamaa mbezi juu alikuwa na nyeti ndogo kila akioa wanawake wanamkimbia alipo pata mke wa nne rafiki yake akamshauri atumie dawa za kichina apake mara 2 nyeti zitanenepa na kweli baada ya siku kadhaa mambo yakawa mazuri jamaa akawa anamridhisha mke wake alichokosea akazidisha akaendelea kupaka tu nyeti sasa zimevimba mithili ya kiloba cha unga wa azam anashindwa kutembea yeye analala tu na mwanamke amemkimbia anadai zina uzito wa kilo 9.
Mapenzi kweli mazito.
Hahahaha lol kitu kinaumuka kama kimetiwa hamira hivi mkate unaweza kurewind?
duh si arudi kwa wachina sasa wakarewind jamani kwanini wanakimbilia wachina wanaacha wataalamu wa kwetu hapa wazuri tu mitishamba
Ni kweli mitishamba inasaidia?
Maana za mchina watu wanaona mafanikio za wamasai hakuna kitu wizi mtupu.
hivi jamani, nasikia tu watu wakilalama eti nyeti ndogo, kwani nyeti ndogo zikoje? zinaurefu gani? zina unene gani? sasa nyeti ya ukubwa gani ndiyo inasemekana ni ya wastani?
Tuache asili ichukue mkondo wake, matatizo ya kumkosoa muumba hayo ndo malipo sahihi!
hivi jamani, nasikia tu watu wakilalama eti nyeti ndogo, kwani nyeti ndogo zikoje? zinaurefu gani? zina unene gani? sasa nyeti ya ukubwa gani ndiyo inasemekana ni ya wastani?