Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

Kwani huyo mgonjwa amesema kapata kwa shoga au mwanaume mwenzie? Au ukimwi ndo unapatikana kwa mashoga tyuuh?
Sio kila jambo baya lazima ushoga uhusishwe khaah, condoms ba vilainishi vipo, sasa watu wanakwama wapi?
Utakuwa SHOGA wewe.
 
Yaani ukimwi alioushtukia wiki mbili umtoe rashes? Ni urongo
Nimeshangaa

Halafu siku hizi ukimwi sio habari amwambie mwanae abugie vidonge si walituletea wenyewe
 
Bas sjui imekuaje.labda aliukwaa mda

Mwambie jamaa aende hospital [emoji541] akapime na ikiwezekana aanzishiwe dose atarudi kuwa normal na ataishi miaka mingine ming tu may be 25+
 
Yaani ukimwi alioushtukia wiki mbili umtoe rashes? Ni urongo
Hivi Ni kweli kwamba kukifanyika katerero bila penetration ngoma haiambukiziki ?
Yani mwanamke Ana ngoma alafu Mwanaume hana Ila wamefanya mutual masturbation
 
Rashes na magonjwa nyemelezi vinatakiwa kuja muda ambao kinga ya mwili imeshakua apeche alolo. Na huo muda hauwezi kua wiki mbili.

Ukipata VVU kinga inareact na hicho kitu kigeni kilichoingia mwilini na kuanza kukishambulia, wanasema kama kinga ikiwa strong inaweza kuviua vile virusi me sinauhakika sana na hii) but kama ikishindwa ukapata maambukizi yanaweza kusababisha mabadiliko ya kawaida katika wiki za mwanzoni unapata dalili za kwanza kama za mafua,kichwa kuuma,homa,vipele,tezi kuvimba nk.
 
Asilimia kubwa ya wazungu wenye ukimwi ni mashoga au alikua shoga akaukwaa kaamua kuja kuusambaza huku!Tena hao waitaliano na waspanish ndio balaa kwa kupenda nyuma[emoji1373]
 
mbona ukimwi sio issue tena kwa huko kwao atatunzea vizuri na kila kitu atapewa ama free au kwa bei nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…