Jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo la kuvimba korodani moja ya kushoto

Joined
Jul 30, 2018
Posts
20
Reaction score
12
Habari, kuna jamaa yng wa karibu sana, anasumbuliwa na tatizo la kuvimba korodani moja la kushoto, kwamaelezo yke anasema korodani hilo limevimba hadi kufikia ukubwa wa yai la kuku, wakati lile korodani la kulia limezidi kusinyaa na kuwa dogo km ukubwa wa panadol, na anakoishi ni kijijini sana, tatizo hili limedumu nae yapata mwaka ss, ila mwanzo lilianza kwa korodani kuuma kiasi fulani na kumpa maumivu ya wastani bdae ndo maumivu yakapotea hdi ss hasikii maumivu.

Kupitia kwangu anaomba mumsaidie ushaur au km kuna mwana jf anajua dawa amsaidie, na kingine anataka kujua hilo tatzo ni ugonjwa gani.

Naomba kuwasilisha

Asanteni,
By Mwakilishi.
 
Jukwaa la biashara

Anyway wajuvi wanakuja kukupa ushauri
 


Mkuu bilashaka hilo ni busha, na dawa yake ni operation tu, aende hospitali kwanza kwa ajili ya ushauri uchunguzi zaidi, operation ya busha ni moja ya operation ndogo yaani siyo operation hatari kwa maisha kama ngiri na zingine za tumboni nk,
 
Mkuu bilashaka hilo ni busha, na dawa yake ni operation tu, aende hospitali kwanza kwa ajili ya ushauri uchunguzi zaidi, operation ya busha ni moja ya operation ndogo yaani siyo operation hatari kwa maisha kama ngiri na zingine za tumboni nk,
Asante kwa ushaur, nami nitamjuza mkuu ili afanye hvyo.
 
Tumia akili kidogo hivi atasubiri mpaka wanajf wajibu ndo aifuatilie afya yake!??? badala aende hospitalini😞😞😞😞😞
 
Acha upang'ang'a busha hilo nenda hospital jali afya yako kama hutaki nunua msuli uvae utembeze zigo lako la busha.
 
Hilo linaonekana busha kaka.
Mwambie awahi hospitalini akafanyiwe matibabu na kam kutakua kuna tatizo zaidi ama tofauti na hapo basi diagnosis zitafanyika huko hospitalini na matibabu atapata.
Ila namlaumu sana kwa kuacha gonjwa mpk linafikia ktk hiyo hali km vile hazijui hospital zilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…