jamaa yangu wa karibu aliyesoma udsm

kingxvi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
879
Reaction score
151
huyu jamaa tulijuana kipindi tupo A-level pale tabora boys kwa sababu wote tulikuwa vichwa sana darasani,matokeo ya form six wote tulipata division one ya point 3 na tulipata scholarship za kuja Germany ila jamaa akasema yeye anakomaa udsm.matokeo yake leo nimekutana naye analalama anadai bora hata asingesoma kwani amemaliza na g.p.a mbovu sana hata masters hawezi kusoma sababu ya chuki binafsi za ma professor wa pale.ananionea wivu mimi nipo nasoma zangu masterz now sweden
 
Kwa nn tuamini haya madai?
 

sema unataka tujuwe umesoma nje ok tumeshajuwa tukusaidie nini sasa
 
Haya mboyzia Mr. Mrisho na Mr. Masele wanakusalimu, thanks kwa kutujuza uko Sweden
 
Kwann umetumia ushawishi mkubwa kiasi hcho na wakati meseji ilikuwa simple hvyo?

si ulifocus ufundishaji mbovu wa udsm? ..sasa mbona kama vile umeombwa ulete CV yako humu Jf?

Kijana huo ni ushamba!siku hzi tunaangalia unawezaje kuitumia elimu yako kwa ukombozi wa Tz na si ulisoma wapi
 

Na unahakika gan tatizo hilo lipo UD or ni la UD pekee, we kilaza huna lolote ulitamani kusoma TBoys ukashindwa ukatamani UD ikakushinda umeamua kuweka biff, how pathetic. Nambie chuo ulichosoma German nd Sweden nikushushue hapahapa...
 
Kwann umetumia ushawishi mkubwa kiasi hcho na wakati meseji ilikuwa simple hvyo?

si ulifocus ufundishaji mbovu wa udsm? ..sasa mbona kama vile umeombwa ulete CV yako humu Jf?

Kijana huo ni ushamba!siku hzi tunaangalia unawezaje kuitumia elimu yako kwa ukombozi wa Tz na si ulisoma wapi
 
wewe na natalia ni ndugu? (bebish posts)
 

kingxvi:
Waalimu wanaofundisha hapo UDSM ndio wanaotunga mitihani yote na ndio wanosahisha mitihani hiyo. Wanapotunga mitihani, huwa ni kutoka walipofundisha wanachuo wao.

Kupata GPA mbovu ni kutokana na kujibu usichoulizwa kutokana na ukilaza wako sio wa chuo, yaani kwenda kinyume na mafundisho yaliyopelekea mswali. Kwa hiyo, kama usemayo ni kweli, huyo nduguyo ni kilaza au kama zilikuwepo za kupata DIV I poit 3 basi alijichanganya na mambo ya bongo. Vinginevyo hizo point 3 aliiba mtihani.

Ndugu yetu usomaye majuu, usikilaumu chuo kwa GPA mbovu, kama mafundisho yapo chini ya kiwango na mitihani hutolewa hapo hapo chini na mwanachuo angefaulu na kupata GPA ya juu ila asingefaa katika ujenzi wa taifa, maana kichwa kingekuwa kimejazwa pumba. GPA mbovu IS EQUAL TO huna akili
 
Na unahakika gan tatizo hilo lipo UD or ni la UD pekee, we kilaza huna lolote ulitamani kusoma TBoys ukashindwa ukatamani UD ikakushinda umeamua kuweka biff, how pathetic. Nambie chuo ulichosoma German nd Sweden nikushushue hapahapa...


Saaafi........na akitokea mkate kidafu mkuu
 
We jamaa kingxvi hivi kuna siku inapita hujaanzisha mada ya kuiponda UDSM. Hata kama chuo kina mapungufu ila sio kila siku wewe na mada za kukiponda mpaka unaonyesha na madhaifu yako mengine. Hatuna haja ya kujua umesoma wapi au sijui unapiga masters wapi ila popote pale unaposoma angalia elimu yako inalifaidisha nini taifa. Bado hata huyo wa GPA mbovu bado anaweza kuitumia na kujiendeleza hata kama atapitia root ndefu. Mbona UD sio chuo kibaya hivyo aise
 
Last edited by a moderator:

Mtu muongo utamjua tu, ni nadra sana au unaweza kusema kwamba haiwezekani mbongo kasota kusoma boading huko halafu apate full scholarship kwenda kusoma Ulaya halafu aipotezee!

 

We jamaa una ubongo wa ndege.
 
Kijakazi huyo jamaa hakuna thread ambayo iko jukwaa la elimu ambayo imeanzishwa ambapo hajaikandia UD
Hata kama haihusiani na UD ni lazima akikandie. Sijui chuo kilimfanyia nini aise.
 
Last edited by a moderator:

kwa unataka tufanye nini?
 
ni majukwaa tofauti tu, ila kwa muda mchache nilimfahamu Natalia hana tofauti na huyu.
Mkuu tindikalikali inawezekana ni the same person maana mada zao na thread zao na comments zinafahamiana sana na ni moja zote kukandia UD
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…