Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhhh,
Hizi habari inabidi uandike mapema kuwa zinatisha. Hata hivyo, Tabora si wacheza na majoka. Sisi Wadakama(Wanyamwezi) ni waoga sana wa majoka. Nafikiri waulize wajukuu wa Mwana Malundi yaani jamaa wa Sukuma land aka Wasukuma (Wanyamwezi wa Kaskazini).