Jamaa Zangu Wa Kule Tabora Hapa Vipi!?

Ohhhh,
Hizi habari inabidi uandike mapema kuwa zinatisha. Hata hivyo, Tabora si wacheza na majoka. Sisi Wadakama(Wanyamwezi) ni waoga sana wa majoka. Nafikiri waulize wajukuu wa Mwana Malundi yaani jamaa wa Sukuma land aka Wasukuma (Wanyamwezi wa Kaskazini).
 

Shukrani mkuu nadhani wamekusikia... may be watajibu mapigo... lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…