planner Laws
Member
- Sep 30, 2013
- 7
- 0
tumepigwa chini,wachache sana ndio wamepata
Hatukuthaminiwa.
Dogo, mapema mno kukata tamaa. Isitoshe katika pitapita zangu, nimeshuhudia wenzio kadhaa wamenasa "bingo". Subirisubiri huenda neema ikaja!