Jamaanii kuku kamaliza debe la mahindi,karanga


Lakini ungenishauri tu nijuwe nifanye nini juu ya kuku huyu wakufugwa na siyo wakienyeji
 
Huyu kuku ni wakuliwa nyama kama angekuwa wa mayai ningemfuata kwao kujitambulisha hili aje atage mayai bandani kwangu

Ebwanaee, sasa tatizo labda liko hapa. Huyu atakuwa layer na siyo broiler!
 
Kuku si kuku huyo ni kweleakwelea. Kwanini ale kwako halafu mayai akatage kwa jirani! Siku hizi kweleakwelea hao wako wengi sana. Ukijichanganya tu utaombwa urushe ama umpunguzie mtama kama sio mpunga wa kutosha kila siku.
 
mvumilivu
 
Kwenye njaa hakuan ujaja,
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…