Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana.
Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na dhulma wanazofanyiwa wapalestina.
Ni nchi gani zitafuata kufanya maamuzi ya hekima kama ya Jamaica.?
1713933475673.png
 
Hapa nilikuwa naangalia mataifa machache yanayoitambua Palestine, karibia yote ni ya mnaopenda kutukana kuwa kafiri, sioni ya kwenu kama vile Somalia, Misri n.k.
 
nchi za America kusini wanawakubali sana wapelistina na harakati zao za kukataa kupowa ardhi kimabavu na wayahudi feki.
 
Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana.
Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na dhulma wanazofanyiwa wapalestina.
Ni nchi gani zitafuata kufanya maamuzi ya hekima kama ya Jamaica.?
Bangi imekolea
 
Sasa Jamaica ni nani kwenye uso wa dunia.? Ni sawa na Tz nao waitambue Palestina kama taifa nani atajali.?
 
Ujinga ujinga tu... Kusema unaitambua Arabs Palestine lazima mjue na Historia kuwa kanuni ya Islam ni kujiona kuwa wao wapo juu ya kila mtu duniani kwa mifano mingi kabisa..

Egypt ilikuwa ni Christian Country before uvamizi wa Arabs and Muslims na kanisa la Kwanza Africa lenye miaka after jesus. Egypt haijawahi kuwa Arabs wala kuwa na Lugha ya Kiarabu

Lebanon was Total Christian Country before ujinga kama huu wavamizi arabs na Muslims Lenanese are not Arabs ni Phoenicians.

Uturuki was not Muslims Country na katika maadui wa Uislam Waturuki ni Namba moja then Jews kisha Christians Waabudu Sanamu Mudy aliwamaliza hakuwahi fahamu kama walitokea India cnina n.k Maana Mudy alikuwa Mtume wa Arabs only Allah hajui other Language.

Syria was Christians Country before Islams and Arabisations

Spain waliwatimua wote hadi mizizi ya arabs na muslims Wakawarudishia Andalucia yao

Iraq was a Christian Country Nabii Yohah aliwaweka sawa

Chechnya, and some European Country wana struggling na Islamisation's.

Waislam waacheni Jews wapumue ondokeni holly land plz
 
Back
Top Bottom