Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nani humu ni mpenzi wa Jamaican jerk chicken kama mimi?
Mie napenda huo wali wa kunde...kwa chukuchuku ya samaki
Ushawahi kula jerk chicken au bbq jerk ribs?
Ushawahi kula jerk chicken au bbq jerk ribs?
Vipi Mkuu, naona ulisahau kuendelea kutoa somo hapa; tumesubiri sana desa hilo!
Vipi, na we hujawahi kula jerk chicken? jerk bbq ribs?