Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Kupitia Twitter rais wa TFF, Jamal Malinzi amedai kuwa alikwenda Zurich kusimamia maslahi ya mpira ya taifa letu, si kuchagua imamu wala baba paroko.
Haya yalikuwa mawazo yake kuhusu Uchaguzi Mkuu wa FIFA 2015, pengine akipiga kijembe kwa mgombea aliyeshindwa, MwanaMfalme Ali wa Jordan!
Last edited by a moderator: