Nikisoma Tweet Yake Naona Hakuna Kibaya Wala Chembe Ya Hicho Ukisemacho Badala Yake Naona Kwamba Wewe Ndiyo POPOMA ULIYETUKUKA.
iyo ni tafsiri yako ama?
Huyu ana negativity na Malinzi! Anatanguliza dini kusudi aungwa mkono na wenzake washari!
Vipi wa kwetu
sioni tatizo hapo labda kama kungekuwa kuna imamu na paroko wanaogombea
kwa nini aandike huo ujumbe? uimamu na uparoko ulikua na uhusiano gani na huo uchaguzi?
Kagonga kote hapo hivyo hamna udini!
Viwanja vyetu vya soka havina hata electronic subsititute board, wachezaji wanabadilishwa uwanjani kwa kuitwa majina kama mpira wa makaratasi. Kiongozi kakalia vijembe kama Hadija Kopa, maslahi ya nchi yako wapi? Sema maslahi yako binafsi tukuelewe. Timu ya Taifa inafungwa ovyo ovyo, yeye anajichekesha twitter, bure kabisa .