barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Anataka kwenda kutuchoresha tu.hata mi naona huo ni us#nge
Sas akitua tatzo nn? Mikataba mnasainisha kwa sifa mkitingwa mnaanza kuchangsha michangoAcheni kulia wenzenu wananunua mchezaji $ 100,000 na mishahara mpaka 9m kwa mwezi...acheni ubahiri ...mmemtumia mpaka Bashite wapi..kuna tetesi Fakhi anatua Jangwani