SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
ukiyashangaa ya amboni utayaona ya gamboshi
Ndugu Jamal Malinzi kachaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama cha mpila wa miguu mkoa wa KAGERA. Whaaaat, Jamal Malinzi Rais wa TFF kachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa KAGERA.
Hata kama katiba inaruhusu, hivi busara umeiacha wapi kaka yangu malinzi?? Mambo ya TFF yenyewe yanaenda mrama, mali za shirikisho zinashikiliwa na TRA, Kocha wa Timu ya Taifa hajalipwa miezi kibao, Uwanja wa taifa haufanyiwi renovation, Lakini bado your comfortable kugombea tena uenyekiti wa mkoa. SERIOUSLY
Tatizo mlangu liko hapa
Ndugu malinzi katika zama hizi za HAPA KAZI tu, Rais ameshakataa mambo ya kushika vyeo mia kwa watendaji wakuu. Hivi unalijua hilo
Balaza la michezo, na waziri @nape , hivi mnaruhusuje huu utaratibu wa ajabu ajabu kuendelea.

- kwanza huu utaratibu ni conflict of interest, wewe kama RAIS linapokuja swala la mkoa wa KAGERA katika ofisi yako tuna uhakika gani kama hakutakuwa na upendeleo. Kwa mfano vigezo gani vilitumika katika kufanywa major renovation uwanja wa kagera na ukaachwa uwanja wa KARUME musoma foristance??
- Mpaka sasa TFF ina matatizo lukuki, kiasi cha kushindwa hata kulipa madeni na mishahara kwa baadhi ya waajiriwa. Huo muda wa nyongeza (spare time) wa kuongoza soka la KAGERA UTAUTOA WAPI, ukuzingatia haya matatizo lukuki ya TFF
- Ofisi za TFF ziko DAR, na ofisi za uenyekiti wako wa kagera ziko hukohuko bukoba, Je unatuhakikishiaje kuwa utakuwa unapatikana kufanya shughuli zako za kila siku katika ofisi zote mbili zilizo KM 1000 apart?
- Pia tunashindwa kujua, tutatenganishaje matumizi yako ya fedha za umma pale utakapokuwa unatekeleza majukumu ya mwenyekiti wa kagera. Kwa mfano ukisafiri kwenda kagera,