Jamal Malinzi, vipigo vya Polisi kwa marefa vinaisha lini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mpendwa jm tumsifu yesu le kristo,,find attached pics nasoma mwananchi leo najiuliza hozi timuzapolisi zinaachalini kupiga waamuzi,,pili sheria zinasemaje niliona yanga waliadhibiwa vilivyo lakini hawa jamaa kila mkoa wanatembeza kipigo nabado zinqendelea kuchezq nani anawalinda hawa mkuu wangu jm,sikunjema
q
 
waadhibiwe MKUU
 

Attachments

  • IMG_20150116_103321.jpg
    42.9 KB · Views: 118
  • IMG_20150116_103312.jpg
    37.6 KB · Views: 114
  • IMG_20150116_103344.jpg
    43.1 KB · Views: 107
  • IMG_20150116_103329.jpg
    41.2 KB · Views: 108
wapigwe tu maana tumeshachoka na hutuna namna nyingine..wapigwe tu
 
Ni Tanzania tu refa anapigwa timu inaadhibiwa kwa kupigwa marufuku kuchezea nyumbani,kama ilivyoadhibiwa Polisi Mara. Polisi Dodoma nao wamempiga refa katika mechi yao na Toto nadhani na wao watapigwa marufuku kucheza Kirumba.Timu hizi za Polisi ziteremshwe daraja.
 
Pdidy ni kweli hizi tabia zimekithiri.Kanuni zetu ziko wapi kuhusu hatua za kuchukua tokana na matukio kana haya.Kamati ya nidhamu itakaa over the weekend na adhabu stahiki kwa mujibu wa kanuni zitatolewa kwa wahusika.Ni kosa kubwa sana kumpiga mwamuzi.
 
Last edited by a moderator:


Where are you taking our football?Unatuharibia mpira wetu.Jenga hayo maduka mpate kuiba kama ndo kuendeleza soka!!U will only be TFF for one season kwa kutuharbia mpira wetu!!Timu yako ya marejesho iko wapi??Wahaya waliojazana TFF wanakusaidiaje?
 
Where are you taking our football?Unatuharibia mpira wetu.Jenga hayo maduka mpate kuiba kama ndo kuendeleza soka!!U will only be TFF for one season kwa kutuharbia mpira wetu!!Timu yako ya marejesho iko wapi??Wahaya waliojazana TFF wanakusaidiaje?
Jibukwahoja MKUU this is Jf
 

Rais wewe ndio wadau wa mpira wa miguu wanakuangalia. Watendaji wako wasipofanya kazi kwa uadilifu wewe ndio utachukua lawama na kuwajibika kuzijibu. Tunakwenda pabaya na hatua stahiki zisipochukuliwa tutachekwa. Kumfungia mchezaji au wachezaji miezi mitatu na timu kubadilishiwa homeground ni adhabu ndogo sana.
 
Last edited by a moderator:
Tuache personal attacks tumhukumu mtu kwa hoja sio kabila lake.By the way mimi sio wa kanda ya ziwa,lakini napenda haki na uadilifu.
 
Huyu pdiddy huwa namwonea huruma sana. maskini anapenda kupost tatizo elimu au lugha ndo kikwazo. we soma post zake utacheka hadi ufe. kiswahili kibovu hajui kuweka nukta wala koma. mi nlimwambia aje nimfundishe kiswahili bure mpaka leo kimya,kupo kukosea kwa kutype lakini huyu jamaa kila post yake ni vituko tu. lakin namsifu hajakata tamaa anakomaa na kupost hivyo hivyo ukisoma inabid upate jamaa wawili mashauriane hapo alikuwa anamaanisha nini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…