Jamali Malinzi, kwanin alibadilisha jezi ya taifa stars?

Zambarau kama Mbeya city or Udhurungi kama African Lyon ingependeza..najua watu watauliza mbona hatuna rangi hizo kwenye Bendera....Netherland orange haipo kwenye Bendera yao.Italy blue haipo kwenye Bendera yao..Ghana nyeupe haipo..hii blue inagundu tuvae rangi zilizotupeleka AFCON 1980
 
Sio Kosa kubadilisha jezi kaa sababu kila baada ya miaka kadhaa hasa Taifa Stars inapopata Madhamini mpya huwa wanatengaza tenda ya kutengeneza, kugawa na kusambaza Vifaa vya Michezo kwa Timu ya Taifa yenye Nembo na na Itibathi ya Mdhamini ili kulandana na Matakwa ya Mdhamini mpya!
 
Bendera ya taifa ndo mpango.
 
Tatizo tunaishi kwa kukariri na mazoea!! Sioni umuhimu wa kupachika rangi ambazo zinatukwaza kwa sababu ya bendera yetu au simba/yanga. Kila jezzy ina nembo ya bendera yake hio inatosha kuonyesha utaifa wa timu husika. Mbona Italy jezzy yao ni ya blue na Ghana km niko sahihi ni white wakati sio rangi za bandera yao ya taifa. Km blue ni kikwazo, kijani na njano ni yanga si tutafute rangi nyengine?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…