jaman first year UDSM chuo cha wajanja hebu nisaidien mwana membar mwenzenu

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
eti kuwa kuna join istruction ya chuo imetoka na jinsi ya kupata admission latter
 
Hii ni aibu kabisa. Andika kama mwanafunzi wa Chuo Kikuu.
 
oya acha kuponda we kama unajua ishu yoyote saidia au hujuag apriviation za maneno ila c kosa lako n kosa la elmu zetu za kbogo kucremu sana elewa kjana open ur mind
 
If you are really a university material I challenge you to write whatever you wanted to communicate in good English or Kiswahili.
 
1. hili sio jukwaa la elimu
2. apriviation ndo nini?
3. mwandiko mbaya
dah ndo wasomi wa mulugo hawa

nne kabla hujapost angalia jukwaa ulilopo ili kuweza kupata msaada kwa haraka

nakutakia masomo mema....

cc Fang hebu hamishieni hii jukwaa linalohusika

oya acha kuponda we kama unajua ishu yoyote saidia au hujuag apriviation za maneno ila c kosa lako n kosa la elmu zetu za kbogo kucremu sana elewa kjana open ur mind
 
Last edited by a moderator:
eti kuwa kuna join istruction ya chuo imetoka na jinsi ya kupata admission latter

Ivi wewe unajielewa?? Ivi unatarajia kwenda chuo kweli?? Kuandika hujui hata kusoma ni jukwaa gani pia hujui??? Na ndio maana tunapata shida na hatuna watatuzi na chanzo ndio kama hiki!! Badilika...
 
Back
Top Bottom