M Mwajmaj Member Joined Feb 13, 2013 Posts 12 Reaction score 2 Feb 14, 2013 #1 Wadhungu wanajitahd kutafuta dawa ya UKIMWI wanashindwa,je inamana na dawa za magonjwa kama kisukar,moyo,kiharusi,figo na ini pia wanashindwa kutafutia dawa zake 2kapona kabisa?2saidien wenzenu huku africa twafa jaman
Wadhungu wanajitahd kutafuta dawa ya UKIMWI wanashindwa,je inamana na dawa za magonjwa kama kisukar,moyo,kiharusi,figo na ini pia wanashindwa kutafutia dawa zake 2kapona kabisa?2saidien wenzenu huku africa twafa jaman
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Feb 15, 2013 #2 Hayo magonjwa yote uliyoorodhesha hapo yanatibika vizuri kabisa. Wewe unaumwa ugonjwa upi hapo nikusaidie?
Hayo magonjwa yote uliyoorodhesha hapo yanatibika vizuri kabisa. Wewe unaumwa ugonjwa upi hapo nikusaidie?
M Maria Nyamhanga Senior Member Joined Jun 14, 2011 Posts 130 Reaction score 25 Feb 16, 2013 #3 Mbona hayo mengine hata hapa kwetu yanatibika?