Tetesi: Jaman hii habari ina ukweli wowote wanajamii forum

Tetesi: Jaman hii habari ina ukweli wowote wanajamii forum

jumamchana

Member
Joined
Jan 17, 2016
Posts
25
Reaction score
13
Ni kutoka tamisemi kweli au watu wametunga maana pepo la utapeli nalo limezid mno siku hizi
 

Attachments

  • IMG-20181208-WA0000.jpg
    IMG-20181208-WA0000.jpg
    46.4 KB · Views: 51
hakuna ukweli wowote,maana niliyona tangu mwezi was kumi,na kufatilia ikaonekana watu tu wanazingua kwa kuandika hiyo barua
 
Back
Top Bottom