Nenda jukwaa la sayansi na teknologia humo utawakuta wataalamu wa it watakusaidia.
Umefanya kosa kubwa kuweka AntiVirus hizo 3 kwa wakati mmoja zitowe zote hizo kwanza kwa ku download hii program inaitwa RevoUninstaller bonyeza hapa Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download - Uninstall software, remove programs, solve uninstall problemsNatumia avast antivirus 5 leo nimepata nyingine ambayo ni v 6, asa nikajua nikiinstal itaitoa ile v 5 badala yake zpo zote mbili nikijarbu kutoa moja haitoki nikaweka avira imtoe haitoi pia,, je niitoe vp?? kuna njia nyingine ya kumtoa huyu avast?? please i need you help............
Hii kitu niliijulia hapa JF na inanifanyia kazi nzuri ya kuondoa takataka zote. Atumie hiyo itamsaidia tu.Umefanya kosa kubwa kuweka AntiVirus hizo 3 kwa wakati mmoja zitowe zote hizo kwanza kwa ku download hii program inaitwa RevoUninstaller bonyeza hapa Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download - Uninstall software, remove programs, solve uninstall problems
kisha ondosha hizo zote 3 Anti virus ndio u download hiyo antivirus unayoitaka usisahau kusema Thanks.