Abuu Bardizbah
Member
- Aug 10, 2013
- 76
- 7
amekwenda hospital hakuna matumain ya kupona dawa katumia ila bado nisaidien katka hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hii ndo namna ya kujieleza kwa doc?
You can't be serious!
pia kichefu chefu kuchoka hajawah kutoa mimba hata kuibeba
Ingelikuwa jambo la maana ungekuwa nae karibu mgonjwa kila tukikuuliza maswali unamuuliza mgonjw akisha unakuja kutujibu sisi ingelikuwa jambo rahisi kukusaidia sasa hivyo unavyojibu hatutaweza kukusaidia pole sana.amekwenda hospital hakuna matumain ya kupona dawa katumia ila bado nisaidien katka hili
mkuu tutaweza vipi kumsaidia mgonjwa wakati anayekuja kueleza sio mgonjwa ? Mgonjwa yupo nyumbani na msemaji wa mgonjwa amekwisha hu-ojiwa na wakuu wenzangu lakini amejibu nusunusu hatutaweza kumsaidia naman hivyo ndugu.MziziMkavu naomba uje huku najua hukosi la kumsaidia