Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Singida fc imemsajili Miguel escobar ili kuimarisha sehem ya kiungo, nimemuangalia escobar kwenye clip, dah, jamaa ana ufundi wa hatari, anajua kumiliki mpira, anajua kuhangaisha bwege wenzake uwanjani, anajiamini, ana mwili wa boli, hakika huyu sio wa kubaki Singida fc, mitimu kama yanga na Simba cjui inaokota wap wachezaji.