The special one
New Member
- Nov 9, 2010
- 4
- 0
Wiziiiiiiiiii,
Nyie nao mnatumwa tu na mnakurupuka kina Zero one.
Fanyeni kazi acheni uvivu hakuna pesa za bure.
Wiziiiiiiiiiiii
Hoozy na wengine wote mnaodhani kuna pesa au hela za bure umeliwa! Fanyeni kazi jamani na kuna task nyingi tu za kufanya ikiwa ni pamoja na kilimo in its totality! Sasa kwenye hili, hebu yeyote afuatilie hiyo link at the end of the day utaambiwa ulipie ndipo uelezwe hizo kazi zilipo na namna ya kuzipata, kama zipo kweli. Binafsi sijawahi kusikia aliye jiunga na hili na kupata hizo hela za bureee au wewe Hoozy ulisha zikwaa; tueleze bana, funguka mkuu!Maelekezo mkuu task za kufanya n zp? Ili kuanza kuneemeka.