Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,213
Reaction score
13,253
Kama unaisoma thread hii christine naomba uniPM naupenda sana msimamo wako unaonekana unafaa sana. Tafadhar christine ni pm moyo wangu uridhike
 
Kama unaisoma thread hii christine naomba uniPM naupenda sana msimamo wako unaonekana unafaa sana. Tafadhar christine ni pm moyo wangu uridhike
 
nilitaka kujiuliza umetokea kumpendaje mtu usiyemfahamu, unless unamfahamu yeye physically na si kwa ID tu?????? is this possible, kupenda maandishi ya mtu???
 
Kama unaisoma thread hii christine naomba uniPM naupenda sana msimamo wako unaonekana unafaa sana. Tafadhar christine ni pm moyo wangu uridhike

Christine wa JF ndio nani?

Halafu wewe ndiye mwenye shida halafu unataka ndio uwe wa kwanza kuandikiwa PM...mbona hujiamini hivyo?
 
Naona watu wanazidi kupendana humu... asa nimpende nani mie? teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…