Shinoyankela
Member
- Mar 24, 2014
- 25
- 4
Jamani kwa anaejua hli naomba msaada nina matatizo ya kutokwa damu nyepec na nyekundu sana uken ikisindikizwa na bonge.
Tatizo hli limeanza tangu mwaka jana mwez wa tatu cku mbili baada ya kumaliza period yangu nilienda hospital wakanichoma cndano tatu za kuzuia isitoke lakin tatizo halikuisha wakanipatia vidonge nikanywa lakini wap!nikifanyiwa vipimo tatizo halionekan nikaamua kutumia dawa ya kisuna ikaacha kutoka tangu mwez wa 11 mpaka mwez wa nne nikabreed wik mbili na kuacha lkn naona tena tatizo limejirudia damu zimeanza kutoka vilevile na kwa sasa ninahitaji sana mtoto sasa nifanye nini naomba msaada wenu