Wewe soma dogo acha majungu wenzio wanasoma wanafaulu. Kama wadad wanapenda tatizo lako nini au ulitaka iweje kama siyo hao wadada?Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai ya kuwasaidia kielimu au saa nyingine kwa vitisho vya kuwafelisha! Na mtu anayeongoza kwa madhambi haya ni mkuu wa idara ya Social Protection! Kwa kweli jaman dada zetu wanateseka na hii tabia mbovu na chafu!
mkuu wewe ndo unaleta majungu yeye anaumia madada kulazimishwa ngono wewe unaponda au wewe ndo mkuu wa SP nini..Wewe soma dogo acha majungu wenzio wanasoma wanafaulu. Kama wadad wanapenda tatizo lako nini au ulitaka iweje kama siyo hao wadada?
mh. Seriously unatetea uovu?Wewe soma dogo acha majungu wenzio wanasoma wanafaulu. Kama wadad wanapenda tatizo lako nini au ulitaka iweje kama siyo hao wadada?
mh,asee ulvoandka hapo ulishrksha ubongo au utumbo wako ati?Wewe soma dogo acha majungu wenzio wanasoma wanafaulu. Kama wadad wanapenda tatizo lako nini au ulitaka iweje kama siyo hao wadada?
mkuu wewe ndo unaleta majungu yeye anaumia madada kulazimishwa ngono wewe unaponda au wewe ndo mkuu wa SP nini..
Sawa mkuu, ni kwamba management ina mapungufu kibao lakin hayaniumi sana kama hili suala la hawa jamaa! Ndio kuna wale wanafunzi wanojirahisisha lakin pia kuna wale walio siriaz na masomo lakini kutokana na jinsi walivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu hawa jamaa wanataka nao wawaonje! Sasa watawapataje? Ndo maana wanatumia mbinu ya kuwafelisha! Mkuu kutokana na ulivyoandika nadhan umepitia ngazi ya chuo, kwa hyo nina uhakika haya mambo unayajua jinsi yanavyotokea!Sidhani kama wanalazimishwa ngono. Unajua kuna wanafunzi wengi wapuuzi sana, hawataki kusoma alafu wanataka wafaulu tu. Unakuta mtu anaenda dinner masaa kibao akirudi analala, sasa huyo atafaulu vipi?Dawa ya kumkomesha lecturer anayetaka ngono ni kusoma tu, maana akikufelisha una appeal na utapita, maana hata husika yeye kusahisha huo mtihani tena. pia wala hawezi kujua kuwa ume appeal. kwahiyo dawa ni kutokutoa ngono na kusoma ujue mavitu hapo maisha yatakuwa mazuri kwako. Ila mleta mada na yeye hajaiweka vizuri, kwanza ameanza sentensi na dharau, sas sijui yeye ni nani. huwezi kusema pamoja na uduni wake, uduni gani?inabidi afafanue. pia haiwezi kuwa ni lecturers wote labda baadhi, kwahiyo inabidi aweke mada vizuri sio kulipualipua tu.
Sidhani kama wanalazimishwa ngono. Unajua kuna wanafunzi wengi wapuuzi sana, hawataki kusoma alafu wanataka wafaulu tu. Unakuta mtu anaenda dinner masaa kibao akirudi analala, sasa huyo atafaulu vipi?Dawa ya kumkomesha lecturer anayetaka ngono ni kusoma tu, maana akikufelisha una appeal na utapita, maana hata husika yeye kusahisha huo mtihani tena. pia wala hawezi kujua kuwa ume appeal. kwahiyo dawa ni kutokutoa ngono na kusoma ujue mavitu hapo maisha yatakuwa mazuri kwako. Ila mleta mada na yeye hajaiweka vizuri, kwanza ameanza sentensi na dharau, sas sijui yeye ni nani. huwezi kusema pamoja na uduni wake, uduni gani?inabidi afafanue. pia haiwezi kuwa ni lecturers wote labda baadhi, kwahiyo inabidi aweke mada vizuri sio kulipualipua tu.
Umeona eeeh!78% inaelekea wewe umesoma nje au chuo cha boys
lakini sio kiivo mkuu! Daaah! Bora nisupp hakyamama kuliko huo u...e! DahDuh!ndio bongo hii mkuu..
Du! yaani jamaa hawezi kwenda kusaka machangu ili dada zetu wasalimike? au mdomo wake mzito?Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai ya kuwasaidia kielimu au saa nyingine kwa vitisho vya kuwafelisha! Na mtu anayeongoza kwa madhambi haya ni mkuu wa idara ya Social Protection! Kwa kweli jaman dada zetu wanateseka na hii tabia mbovu na chafu!
Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai ya kuwasaidia kielimu au saa nyingine kwa vitisho vya kuwafelisha! Na mtu anayeongoza kwa madhambi haya ni mkuu wa idara ya Social Protection! Kwa kweli jaman dada zetu wanateseka na hii tabia mbovu na chafu!