K kakabahati Member Joined Oct 28, 2013 Posts 62 Reaction score 22 Feb 21, 2014 #1 Nn kinasababisha mwanaume kuchubuka kwenye mapaja sambamba na korodan?
P PeterPan Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11 Reaction score 2 Feb 22, 2014 #2 1. Misuguano wa ngozi za mapaja ukiwa una embea ama umevaa nguo iliyokubana. 2. Inaweza ikawa una fungus kwenye ngozi ya hapo sehemu husika.Kama ni hvyo basi kupaka dawa ya fungus itasaidia kupona
1. Misuguano wa ngozi za mapaja ukiwa una embea ama umevaa nguo iliyokubana. 2. Inaweza ikawa una fungus kwenye ngozi ya hapo sehemu husika.Kama ni hvyo basi kupaka dawa ya fungus itasaidia kupona