Jaman najitokeza kwa mara ya pili

Jaman najitokeza kwa mara ya pili

mussa22

Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Mimi nikijana wa kitanzania naishi MOSHI najitokeza kutafuta mwanamke atakae kuwa mke wangu. plc aliye tayari naomba tuwasiliane nko sirious sitanii .
SIFA ZANGU
UMRI: MIAKA 30
ELIMU: CHUO KIKUU
KAZI: NIMEAJIRIWA SERIKALINI
DINI: MUISLAM
UREFU: SI MFUPI
ULEVI: SITUMII POMBE

SIFA ZA NNAYE MTAFUTA
UMRI: 20-28
DINI: YOYOTE
UMBO: ASIWE MWEMBAMBA SANA NA AWE WA KUVUTIA
ELIMU: AWE NA DIPLOMA NA KUENDELEA
KAZI: AWE AMEAJIRIA AU ANAFANYA BIASHARA

Kwa aliye tayari naomba tuwasiliane natanguliza shukran
 
.... Kuna dada yupo ana diploma 21yrs... HIV-, figure 8
... anasema UNA GARI NZURI....kuanzia Rav new model.... afu anaomba benki statement.... afu na ukapime...afu uwe na ur own home....afu uko hakai kiijiji moshi mangi.... afu andikisha gari na home kwa jina lake.... afu hamna ngono hadi ndoa....afu uwe tayari kupika kwa zamu... afu simu zako zote awe anaziangalia free.... afu mshahara wako yy ndie mpangaji.... afu kuoga kila mtu kivyake....afu mkioana mkiwa mnatiana mnazima taaa.... afu ndio UTAJUA KILICHOMNYIMA KANGA MANYOYA SHINGONI....afu lazima umnunulie Galaxy note 2.... afu .... halafu.....
hao ndio wanawake wa mtandaoni......
 
hahaha,aisee huyu mangi harudi tena
 
kah!!!
 
Watoto snei snei bwana! Taabu tupu. I don't have time for this....Bye byeee...
 
Back
Top Bottom