jaman nani anaijua automobile engineering aniamb...

charm_chiddy

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
33
Reaction score
3
jaman ni nan anaijua vizur automobile engneering aniambie ukishaisoma unaweza fanya kazi gani? Ina maslahi? Unasoma nini hasa? Ni hayo tu, nielimisheni
 
Soma haya maelezo kidogo kwa msaada wa internet upate mwanga kidogo
hi kozi wanaitoa nit -national instute of trasport ..inafanana sana mechanical engineering

kazi zipo kasome ukomae...
 
Soma haya maelezo kidogo kwa msaada wa internet upate mwanga kidogo
hi kozi wanaitoa nit -national instute of trasport ..inafanana sana mechanical engineering

kazi zipo kasome ukomae...

dah.. Asante saaana..uko juu brother..thanx much,nlioomba kwa bahat mbaya,it wasnt my dream,ila sina jinsi.. Thanx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…