T tendega Member Joined Jun 19, 2013 Posts 61 Reaction score 13 Sep 1, 2013 #1 kwa watu wa stemuco.ni kiasi gan cha pesa kinahitajika mbali ada,nahitaj kujipanga
D Devla Member Joined Jun 16, 2013 Posts 74 Reaction score 13 Sep 1, 2013 #2 Kujirejista 348,000 Ila Kama Unanusu Wanakupokea Zingine UtamaliziaNa Kama Hauna Huwa Wanakupa Kama Wk Hv Baada Ya Hapo Penati Elf 10
Kujirejista 348,000 Ila Kama Unanusu Wanakupokea Zingine UtamaliziaNa Kama Hauna Huwa Wanakupa Kama Wk Hv Baada Ya Hapo Penati Elf 10
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Sep 1, 2013 #3 karibu moshi ukija usikose kunitafuta mpigamsuli nipo MUCCoBS
T tendega Member Joined Jun 19, 2013 Posts 61 Reaction score 13 Sep 1, 2013 Thread starter #4 asante kaka,vipi kuhusu hostel zipo za kutosha?
Mwamgunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 247 Reaction score 48 Sep 1, 2013 #5 Hakuna Hostel za kutosha, ila ukiwahi utafanikiwa.