jaman nani anajua taratibu za stemuco,kwa watu wa degree,ni kiasigani cha pesa kinahitajika?

tendega

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
61
Reaction score
13
kwa watu wa stemuco.ni kiasi gan cha pesa kinahitajika mbali ada,nahitaj kujipanga
 
Kujirejista 348,000 Ila Kama Unanusu Wanakupokea Zingine UtamaliziaNa Kama Hauna Huwa Wanakupa Kama Wk Hv Baada Ya Hapo Penati Elf 10
 
karibu moshi ukija usikose kunitafuta mpigamsuli nipo MUCCoBS
 
asante kaka,vipi kuhusu hostel zipo za kutosha?
 
Hakuna Hostel za kutosha, ila ukiwahi utafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…