pirabiriani
Member
- Mar 1, 2012
- 79
- 16
Watoto siku hizi makimbilia nn ktk maswala haya? Una 21 unaanza kucomplain habari za kuvuta na kuvutiwa, ukifikia umri wetu si utakuwa umemaliza ulimwengu mzima?
Shule vp umemaliza?
Labda unavutia ila tabia zako chafu.. Jichunguze.
Ah unawah wapi? maana unadeal na watoto sasa hapo tushaul uhalibifu? kwa huo umri sanasana unatakiwa kudeal na mabinti chin ya miaka 19 . jitahd kwnye masomo