Jaman naomba mnisaidie kuhusu hili coz haya mapenzi mh! Why me?

We Prince umr huo sio wakuanza kuafikiria wapenzi kumbuka kama uko chuo unafikiri kuna mwanamke atakaye vutiwa na wewe pasi malengo? inawezekana unamonekano mzuri tu lakin kimapenz bado hauqualify kwani hivi ukimpata dem hapo halaf inakuwaje? soma kijana uliza wenzio, walianza serious reletionships baada ya kumaliza chuo na atleast kupata kazi vingnevyo unatafuta frustrations bure. tena try to be very careful manake kwa jinsi ulivyooandika siku ukipata wanachokitak manawake utajikuta umewapanga foleni.
 
soma soma soma kijana maisha yazidi kubadilika wazuri wazidi kuzaliwa
 
ple sna wackilize wadau yn tunayakimbia mapenzi wewe unayalilia kwnza unajua kulea mtoto kitu chakawaida?ukiyataka utayaona bongo hpa kaka,piga buku kwnza
 
Inawezekana kweli una muonekano poa but your not romantic!
 
Mhh! Probably...!


 
Am proud of you guys, kila ushauri nimeutafakari na nikagundua if am care, every thing will be wrong! Thanx a lot. And i promise u that i will follow your advice.
Thanx again
 

hauna mvuto
una push
 

hauna mvuto
ina wezekana we nimtu wakutoa pesa kwa hiyo wanajisogeza kwako wapate vijisent vyako vya bodi, hawataki mapenz hao.
 
weka picha zako humu ukiwa kwenye pozi tofauti alaf wanawake wa humu jf watakupa majibu kama kweli una mvuto hau la. anzia na vaz la jion,ucjali wanawake wa humu ni waungwana sana. na itakusaidia kupata mwenye mvuto mwenzako.
 

Mh, jf inazidi kujaa vitoto tu!! Yangu macho!
 

Kwa hii post yako, nimegundua kuwa hauhendsamishi kwa kuwa you ain't sex but pockets zako zina uwezo wa kuhendsamisha. Jipange upya.
My take: Hakuna mtu mwepesi kumpata kama Msichana ambaye tayari ana mtu :rockon:
 
weka picha zako humu ukiwa kwenye pozi tofauti alaf wanawake wa humu jf watakupa majibu kama kweli una mvuto hau la. anzia na vaz la jion,ucjali wanawake wa humu ni waungwana sana. na itakusaidia kupata mwenye mvuto mwenzako.

Mh! Jaman nilikuwa naomba ushauri tu, hayo ya kuweka picha mengine, huku kwenyewe sijatumia my real name, ndo kueka picha!!
 
majukum wayaweza au wataka upendeke 2,km upo chuo na hao mabnt wa chun aslmia ndogo sn ndo wapo cngo wengne wote wana vdumu na mafga yake kwaio watch out,ukmw bado upo na unaua.
 
Inawezekana ukawa you are just good to be looked at, I mean handsome but not as a lover. Katika mapenzi its just more than that.
madame x hii avator yako kiboko
ullipambiwa wapi? mbona macho ya kijani au ndo urembo? angalia shem asikumwage
 
Kwa hiyo wewe kuota mavuuu ndio unajiona mtu mzima.

Mh! Kweli wee ukielewa darasa zima limeelewa! In short mtu mzima is anybody over 18 yrs. Huko kuota mavuu mbona hata vitoto vya miaka 10 vinayo, because of factors lyk vyakula vya sasa ivi. I sayd am 21. Is this under 18? Come on guy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…