Prince edu
Member
- Dec 16, 2011
- 78
- 0
Huyo mpenzi ana akili za kitoto. We piga mazoezi, atanuna mwisho atazoea.
Wewe unanunaga?
wewe ni mwanamme au wa kiume?
Una miaka mingapi?
Mi ni kijana ninayependa kufanya mazoezi na pia mi ni mchezaji wa timu ya mpira wa miguu na nina mpenz ambaye amekuwa kikwazo kwangu kwani anapenda mda wote niwe naye hata muda wa kwenda zoezi na nikijaribu kwenda ananiambia," kama hayo mazoezi yana umuhimu zaid yangu we nenda na ukirud usinisemeshe ki2!" yaan sijui nifanyaje kwan mazoez ni muhimu sana kwangu na pia nampenda sana mpenz wangu! Hebu nishaur nakusubiri mwanajf!
Kwa nini usimshawishi awe anakuja na wewe?
Kuna raha fulani ya kufanya mazoezi pamoja...
2. Kwa nini hataki uende kwenye mazoezi. Sababu ni nini hasa?
Mi ni mwanaume bwana na mpenz mwenyewe ni girlfriend na si mke,cjui sabab ya kuninyima nisiende kwan nmemuhimiza twende naye ila ni mgumu kamesimamia kucha!
Sijui mshikaji yuko wapi lakini kama ana membership kwenye health club basi ninaweza kuelewa kidogo maana huko huwaga ni balaa. Kuna vishawishi vingi sana.