jaman naomben ushauri wenu wa dhat jaman naomben sana

uncle 2

New Member
Joined
Sep 9, 2012
Posts
2
Reaction score
1
jaman naomben mnishauri bila kunijibu vbaya naomba tena sana. mimi ninatatizo ya kukojoa pindi tu ninapoingiza uume wangu kwenye uke wa mwanamke pale nnapofanya tendo la ndoa. nmejitahid kufanya taratibutaratibu tendo hilo ila tatizo lko palepale. hadi mpenz wangu ameniambia endapo litaendelea itabid aniache kwa sababu simridhishi nami nampenda sana mpenzi wangu nisaidien
 
una maana kwamba huwa unawahi kufika kileleni(pre-mature ejaculation) au unazungumzi mkojo halisi?
 
Una tatizo la kukojoa haraka na pia umridhishi mwenzio??..ryte?
Ngoja niwaite magwiji gfsonwin na my pacha snowhite waje wakudadavulie..
Ila kiufupi nadhani una nyege mshindo..jaribu goli la kwanza kupiga out ili upate momentum!!
 
Last edited by a moderator:
Halafu umekimbia..au mkojo umekubana!?? haya kakojoe urudi...
 
kwani unaweza kwenda goli ngapi bila mhogo kugeuka big G?
 
huu ni ugonjwa unaitwa premature ejaculation,wa wewe kufika mwisho wa safari kabla hujafika,au mwenzio hajafika.kinyume cha huo unaitwa delayed ejaculation.Sijui kama najua dawa yake,ila ni vema nikajua, ukijaribu mara ya pili na tatu ni hivyohivyo?maana ungeweza kumaliza ya kwanza,kisha mwenzio ukamfikisha na zinazofuata.
 
Unazungumzia ile ya kwanza au hata ya 3 ni hivihivi? Funguka bro
 
Bao la kwanza ndio linakua hivyo au hata la 2 na 3 pia? jaribu kumchezea sana mkeo au sijui nimwite nani,mwambie na yeye akuelewe kama anakupenda kweli atakuelewa na mtaitafuta sababu.......
 
Kuna baadhi ya vyakula ukila basi hupizi haraka jaribu supu ya njiwa πŸ˜›oa
 
Ina MAANA UNAPIGA KAMOJA TU NA HURUDII GEMU, MAY BE UNAKUWA NA SHAUKU SANA SO UKIMUONA WE NI KUMRUKIA BILA MAANDALIZI YA KUTOSHA, SO JITAHIDI KWANZA KWA MAANDALIZI YA HAPA NA PALE AKIWA HOI BIN TABAANI HATA AKIPATA KDOGO HICHO ANAKUWA AMERIDHIKA KAMA KWENYE FORE PLAY ATAKUWA AMEFIKIA CLIMAX, IF THE PROBLEM PERSIST NI BORA KUWAONA WATAALAMU WA MASWALA YA UZAZI ILI UTIBU TATIZO HILO ONCE AND FOR ALL
 
Wanaume msaidieni mwenzenu naona watu mnamponda tu na amewaomba msimjibu vibaya
 
eeeh, mie napitaga tu yakheee......pole weee.....
 

Umeulizwa na wenzio mbona hujibu ili wakusaidie, maana usiposema hawataweza jua wapi tatizo lipo.
 
Utani pembeni njiwa ni hatari kuliko kwato za ng'ombe...Wanasema usiende muliza doctor mulize aliye jaribu πŸ˜›oa

Ndio fisrt time nasikia hii
utafanya njiwa wapande bei mjini lol

kwato za ngo'mbe zinafanywaje?kuchemshwa?
 
Tatizo watu wanaleta shida zao harafu wanatimka sijui wanataka wasaidiwe vp? Kama unakojoa basi funga mpira ili usiwe unakojoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…