Jaman naombeni msaada kuhusu tcu.. et ukikosea mfano ulikua wa diploma ukaaply ya fom six..

johnshedo

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
98
Reaction score
6
mm nilikosea kwenye aplication mara mbili nikaomba kwa njia ya fom six badala ya diploma.. nahitaji msaada kwani jina langu limeletwa kwa mara ya tatu sasa.. naweza kubadili kwa kutumia vocha ileile wa ndugu nisaidieni..
 
jaribu coz leo ndo mwisho.!
 
Back
Top Bottom