Jaman naumwa na mawazo,nateseka nfanyeje?

jipange upya huyo hana lolote ameshindwa kubadilika.....mwanaume analia nafikiri unafiki analilia faranga ulikuwa unampatia
 
I thnk u need 2 sit dwn and av sam 9c desitn aprt 4m extrnl forcs!

Yaani hapa sijapata kitu kabisa......!!!

Mkuu unayetumia mobile nafikiri ungeaandika post yako ikaeleweka zaidi kuliko kuweka hizo initials ambazo ziko kwenye blue color

Mod. Sheria inasemaje?? Hata wewe unaweza kuiedit hiyo post bwana au kuifuta...
 
Daaah!lstn grl mpaka kufkia hap ulpo nahs unalo jibu coz kumwacha unaona huruma na kuendlea naye pia huwz na kuleta hlo suala mezn inaonysha dhahr umechoshwa,wel 4 da sake of ur luv do lyk dis z 1 of da greatr thnkr say,wat evr z exclnt and be wer ur ar and b at da best!no body z perfct grl!
 
Kaa ufikiri na upate jibu la swali hili - anakupenda? Ukipata hilo na wewe jiulize - unampenda? Baada ya hapo usikilize moyo wako utakuwa unakuambia nini
umeongea umemaliza na yangu,asante
 
tee teeh teeh inaelekea wewe niwale wakung'ang'ania wanaume yote hayo lakini bado unajishauri?
Embu mwanamke amka jiamiani na ujipe nafasi utapata unachokitaka sio kulialia mama
 
kimbia kabisa maisha ni furaha huna haja ya kukaa mahali ambapo hamna happiness mamito
 
Mpaka hapo ni wazi umeshakinai hilo penzi,huna haja ya kujiuliza zaidi wanaume dizain hiyo ni wale wanaopenda kubebwa na kusahau jukumu lake km mwanaume jaman hata kuonesha upendo tu anashindwa!achana naye coz akimpata mwanamke mwenye uwezo zaidi yako atakutosa baada ya kukupotezea mda,komaa na shule tengeneza GPA yako,utampata atakeijua thamani yako mbele ya safari!
 
Mwanaume anatakiwa awe anajua na anapenda kumbembeleza girl wake na kuwa na attention kwake, hili linaleta raha kwenye uhusiano, Mwanamke anakuwa anajisikia raha na kuappriciate kuwa anapendwa na kujaliwa, Mi kama mwanaume hafanyi haya kwenye uhusiano wetu, hata awe handsome na pedezyee wa aina gani, nitampiga chini tu, kwasababu feelings zangu kwake zinapotea, bora nitafute mwingine kwani wanaume bomba wako wengi tu, wanaonipapatikia.
 
pole sana mdogo wangu . unajua mapenzi hayana darasa hata kidogo kila mtu anajifundisha mwenyewe.Inawezekana huyu mwenzio bado hajui namna ya kutatua tatizo lako, tafadhali jaribu kumfundisha afanye unavyotaka badala ya kumlaumu na kulalamika
 
hivi hawa .com huku jamvini mbona wanatuchanganya, sasa hapa kaandika nini.

Afadhali umeongea. Hawa jamaa wanachoandika kinaashiria jinsi kichwa chake kinavyofikiri yaani utadhani tunaongea lugha tofauti. Zamani tulifundishwa kuandika ili ueleweke kwa hadhira yote siku hizi mtu anaandika utadhani anajiandikia mwenyewe.
 
Tukiomba ushauri tuwe tunapitia comments na kujibu kinacho ulizwa...
 
Mhhh hayo ndo mambo ya mapenzi yakipambwa na upendo wa upande mmoja huzaa UPUMBAVU. Hey piga nyama chini kwa kiasi flani ww pia unachangia kumharibu huyo mshkaji kwanini wamuruhusu kuwa Mr. Misamaha aka Ahadi za kujirekebisha. Ki ukweli mmwage kama atajirekebisha hana sababu ya kukwambia ww binafsi utagundua akibahatika kukawa na chance akikuta wajuvi washakubeba ndo bomba atakupenda hadi anaingia kaburini!
 
Kweli akuna chazaid zaid ya hilo afate 2 ushauli wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…