jaman ni kweli?

jaman ni kweli?

dibk

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
424
Reaction score
365
wana jamvi

napenda kuuliza, mm ni mfanyakazi ktk kampun fulan hapa nchi, kipindi cha nyuma makato ya mfuko wa jamii(NSSF)tulikuwa tunakatwa kwenye GLOSSY,hv karibun mwajili ametuambia kuwa makato ya NSSF yataanza kukatwa kwe basic saraly kwa kudai kuwa social security law imefanyiwa amendment mwaka 2012 na kuhakikiwa na bunge,lakin kla tukifuatilia hiyo sharia ya mifuko ya jamii hatuion.Sasa ndo tunafikria yawezekana ni mbinu za mwajili za kukwepa gharama, nikaamua kuleta hapa huu uzi ili kama kuna mwenye uelewa zaidi atujuze kabla hajachukua hatua nyingine.
 
ok. Wahusika haswa ni SSRA.
Hebu chungulia hapa: https://www.ssra.go.tz
Halafu nenda kwenye NYARAKA utaikuta hiyo Sheria.
Sheria yenyewe ya mwaka 2012 ni hii hapa: https://www.ssra.go.tz/?page_id=546

Section 22 inahusu Michango, naona inasema tu michango itatokana na mshahara wa mfanyakazi.

Wanasheria tusaidieni kwamba mshahara maana yake Gross Salary, au Net/Take Home?

halafu mleta mada badilisha jina la uzi (title ya thread) ili ionekane kwa urahisi zaidi na wadau wachangie.
 
Back
Top Bottom