wana jamvi
napenda kuuliza, mm ni mfanyakazi ktk kampun fulan hapa nchi, kipindi cha nyuma makato ya mfuko wa jamii(NSSF)tulikuwa tunakatwa kwenye GLOSSY,hv karibun mwajili ametuambia kuwa makato ya NSSF yataanza kukatwa kwe basic saraly kwa kudai kuwa social security law imefanyiwa amendment mwaka 2012 na kuhakikiwa na bunge,lakin kla tukifuatilia hiyo sharia ya mifuko ya jamii hatuion.Sasa ndo tunafikria yawezekana ni mbinu za mwajili za kukwepa gharama, nikaamua kuleta hapa huu uzi ili kama kuna mwenye uelewa zaidi atujuze kabla hajachukua hatua nyingine.