Sholloz nkanda
Member
- Sep 1, 2012
- 6
- 0
natumia cm ambayo ina uwezo mdogo wa ku-access afu nko bush,msaada kwa hili jina(sholoma kulwa nkanda) kama lina mkopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we nkanda vipi tena? Watiu wamehangaika kukupatia majibu halafu hujitokezi hata kushukuru? We mtanzania gani?
ningeshangaa ungekuwa na cha kusema zaidi ya hiki!!!!hongera sana mkuu,sua unaenda kozi gani?? Kilimo cha maua au food nutrition?
Hongera sana mkuu,SUA unaenda kozi gani?? Kilimo cha maua au Food Nutrition?
Hongera sana mkuu,SUA unaenda kozi gani?? Kilimo cha maua au Food Nutrition?