Sholloz nkanda
Member
- Sep 1, 2012
- 6
- 0
we nkanda vipi tena? Watiu wamehangaika kukupatia majibu halafu hujitokezi hata kushukuru? We mtanzania gani?
ningeshangaa ungekuwa na cha kusema zaidi ya hiki!!!!hongera sana mkuu,sua unaenda kozi gani?? Kilimo cha maua au food nutrition?
Hongera sana mkuu,SUA unaenda kozi gani?? Kilimo cha maua au Food Nutrition?
Hongera sana mkuu,SUA unaenda kozi gani?? Kilimo cha maua au Food Nutrition?