mashaka saidi beneu mboyo
Member
- Jun 2, 2019
- 25
- 21
Nina sura ngumu jamani nitumie nini ili kidogo niwe na angalau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina sura ngumu jaman nitumie nin ili kidogo niwe na angalau
Pakaa cement, kutwa mara 2, baada ya kuoga asubuhi na jioni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]nina sura ngumu jaman nitumie nin ili kidogo niwe na angalau
nina sura ngumu jaman nitumie nin ili kidogo niwe na angalau
Mmh!Wew hunizidi mimi nina sura ngumu zaidi ya Chapati.
😀😀😀😀😀Mmh!
Kwakua mwezi unaisha basi unaanza uongo😀😀😀😀😀
Manjano+asali+maji ya limao kidogo changanya kwa pamoja kisha nawa uso wako, kausha vzr paka huo mchanganyiko uache ukae kwa dk 10 alafu fanya kama una scrub hv kwa sekunde chache alafu nawa na maji. Fanya hv kwa wiki tu utapendaWew hunizidi mimi nina sura ngumu zaidi ya Chapati.
Asante sana dearManjano+asali+maji ya limao kidogo changanya kwa pamoja kisha nawa uso wako, kausha vzr paka huo mchanganyiko uache ukae kwa dk 10 alafu fanya kama una scrub hv kwa sekunde chache alafu nawa na maji. Fanya hv kwa wiki tu utapenda
Mafuta ya nazi+ vaseline ya mgando ile . Changanya kidogo kwny kiganja alafu paka usoni