Jaman nifanyeje nna sura ngumu kama chapati iliokosa mafuta nifanyeje

jinsia tafadhali ,,,,,
kabla hatujajibu
 
Matokeo ya facebook na google ndio imewaleta watu mbali mbali JF.
 
nina sura ngumu jaman nitumie nin ili kidogo niwe na angalau
Pakaa cement, kutwa mara 2, baada ya kuoga asubuhi na jioni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Wew hunizidi mimi nina sura ngumu zaidi ya Chapati.
Manjano+asali+maji ya limao kidogo changanya kwa pamoja kisha nawa uso wako, kausha vzr paka huo mchanganyiko uache ukae kwa dk 10 alafu fanya kama una scrub hv kwa sekunde chache alafu nawa na maji. Fanya hv kwa wiki tu utapenda

Mafuta ya nazi+ vaseline ya mgando ile . Changanya kidogo kwny kiganja alafu paka usoni
 
Asante sana dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…